Kitabu hiki kimewasaidia mamia ya watu kupita usaili (interview) na kupata kazi walizotamani β hata wale waliokuwa na wasiwasi mkubwa au uzoefu mdogo.
π₯ Pata Mwongozo Wako Sasa β TZS 10,000 tuβ Hutumiwa papo hapo kwa WhatsApp Β· π Malipo salama kabisa
Kama jibu lako ni ndiyo β basi ujue huko peke yako. Na tatizo si wewe. Ni namna unavyojiandaa.
Najua hali hii inaumiza sana. Lakini yote haya yanaweza kuisha β ukijua jinsi ya kujiandaa kitaalamu.
Baada ya miaka 3 ya kuelekeza na kufundisha vijana wa Tanzania kufanikiwa kwenye usaili, nimegundua jambo moja: tatizo halikuwa elimu yao. Tatizo lilikuwa makosa haya madogo waliyoyafanya bila kujua.
Hapa chini nimekuandalia makosa 6 makubwa ninayoyaona mara kwa mara. Soma kwa makini β yawezekana umeshafanya angalau matatu kati ya haya bila kujijua.
Watu wengi wanaanza hivi: “Nilizaliwa Iringa, nilisoma shule ya msingi pale, kisha sekondari⦔ Mwajiri hataki stori ya maisha yako. Anataka kujua kwa sekunde 90 tu β kwa nini wewe ndiye mtu sahihi kwa kazi hii.
Mwajiri anauliza: “Unajua nini kuhusu kampuni yetu?” Unajibu kwa ujumla: “Nilisikia ina sifa nzuri.” Au unanyamaza kabisa. Mwajiri anajua mara moja β hujajitayarisha vizuri.
Mwajiri: “Je, una uzoefu wa kufanya kazi ndani ya timu?” Wewe: “Ndiyo.” Hapo umemaliza. Tofauti kati ya mtu anayepata kazi na asiyepata ni kwamba yule wa kwanza hubadili kila swali kuwa kisa kifupi chenye matokeo halisi.
“Niliondoka kwa sababu bosi wangu hakuwa muelewa na hakuthamini wafanyakazi⦔ β hii ndiyo dakika ambayo unapoteza kazi. Mwajiri mpya anajiuliza moja kwa moja: “Kama hivi ndivyo anavyomsema bosi wake wa zamani β atasema nini kuhusu mimi kesho?”
Mwajiri: “Una swali lolote kwetu?” Wewe: “Hapana, nimeshaelewa kila kitu.” Hapa umemaliza interview kwa kufanya kosa kubwa ambalo huenda hujui.
Kutumia maneno kama “Naomba sana mnifikirie kwenye hii kazi, nina shida sana” au “Niko tayari kufanya kazi yoyote mtakayonipa hata kwa mshahara mdogo.” Badala ya kujiweka kama mtaalamu anayetafutwa, unajiweka kama mwombaji anayehitaji kuhurumiwa.
Kujua makosa haya ni hatua ya kwanza. Ndani ya Mwongozo huu, nimekuwekea Majibu Kamili ya Kila Swali, Mifumo ya Kujieleza (kama STAR Method), na Mbinu za Kisaikolojia zinazokupa ujasiri wa asilimia 100%. Ni elimu ambayo hutaipata Google kwa urahisi, hutaifundishwa chuoni, na haitolewi bure.
Amina alikuwa na shahada nzuri ya Biashara kutoka chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Alituma maombi ya kazi zaidi ya 40. Alifanikiwa kuitwa kwenye usaili (interview) mara 6, lakini hakupata kazi hata moja.
Tatizo lake halikuwa elimu au ufaulu β tatizo lilikuwa hakujua jinsi ya kujieleza na kuuza uwezo wake. Alijibu maswali bila mpangilio maalum. Walipomuuliza “Udhaifu wako ni nini?” β alishindwa kujibu vizuri.
Baadaye alipata Mwongozo huu. Aliusoma kwa siku mbili tu. Akajifunza STAR Method, jinsi ya kujibu maswali ya kitabia, na jinsi ya kudhibiti maswali magumu. Akafanya majaribio ya kujibu na ndugu yake (mock interview).
Wiki moja baadaye β alipewa ofa ya kazi ya kwanza maishani mwake yenye mshahara mzuri.
Interview si kipimo cha ufaulu wako wa darasani. Ni kipimo cha maandalizi yako kiutendaji.
Hiki si kitabu cha nadharia (theories). Ni mwongozo wa vitendo wenye maswali halisi, majibu yaliyonyooka, na mifumo inayofanya kazi.
Jifunze mifumo ya kujibu (STAR, IDEAL, Sasa-Zamani-Baadaye) inayofanya majibu yako yawe na mashiko makubwa.
Majibu ya mifano kwa ngazi zote: Anayeanza (Graduate), Mwenye Uzoefu Mdogo, na Mtaalamu Mbobezi.
Je una muda mrefu mtaani (career gap), ulifukuzwa kazi, au una uzoefu mdogo? Tumejibu namna ya kuyatetea haya yote.
Barua pepe za shukrani baada ya interview, namna ya kuulizia majibu (follow-up), na kukubali ofa ya kazi.
Fomula kamili inayokupa ujasiri wa kutaja thamani yako ili usipoteze haki yako ya mshahara stahiki.
Jinsi ya kudhibiti woga na wasiwasi (panic), na kuwa mtulivu na kujiamini ndani ya chumba cha usaili.
“Nilikuwa nafikiri tatizo langu ni uzoefu mdogo. Lakini baada ya kusoma Mwongozo huu, nilielewa tatizo ni kwamba nilikuwa sijui jinsi ya kuwasilisha uwezo wangu. Nilifanya interview moja tu baada ya kuusoma β nikapewa kazi. Nashukuru sana Coach Ben.”
“Kila swali waliloniuliza kwenye interview lilikuwa na mwongozo wake kwenye hiki kitabu. Nilisoma usiku mmoja tu, asubuhi yake nilikuwa fiti. Nilikutana na jopo la watu 5 (Panel interview) lakini sikuogopa hata kidogo. Nimepata kazi rasmi.”
“Nimekaa mtaani bila kazi kwa miaka miwili. Nilijua nina uwezo, lakini sikujua jinsi ya kuwaaminisha waajiri. Mwongozo huu ulinifundisha kutoa mifano halisi (STAR method) β nikapata kazi yangu ya kwanza tangu nihitimu.”
Bei ya Kawaida: TZS 25,000
Hii ni ofa ya muda mfupi β bei itarudi TZS 25,000 hivi karibuni
π₯ Pata Mwongozo Wako SasaMchakato ni rahisi sana na salama, unachukua chini ya dakika 2. Fuata hatua hizi:
β Umepata changamoto wakati wa kulipa? Mtafute Coach Ben: +255 757 853919 (WhatsApp)
Baada ya muda wa ofa hii kumalizika, bei itarudi TZS 25,000. Hata kama hutarajii kufanya interview wiki hii β sasa ndio wakati mzuri zaidi wa kujinunulia silaha hii muhimu kwa ajili ya baadaye.
β° 00:00:00
Ni eBook (PDF) β inamaana unaweza kukisoma kwa urahisi ukiwa na simu yako janja (smartphone), kompyuta, au tablet. Huna haja ya kuwa na bando baada ya kukipakua mara ya kwanza.
Ukishamaliza tu kulipa, mfumo unakutumia kitabu moja kwa moja kwenye namba yako ya WhatsApp uliyofanyia malipo. Inachukua chini ya dakika 2.
Ndiyo asilimia 100. Mwongozo huu unatoa mbinu na mifumo inayoingiliana na sekta zote β iwe benki, NGO, serikali, teknolojia, elimu, au afya.
Hapana kabisa. Kuna sehemu maalum kwa wanafunzi wanaomaliza vyuo (Graduates) wasio na uzoefu wowote, pamoja na wale wenye uzoefu. Kila mtu anapata anachostahili.
Ndiyo. Malipo yanafanyika kupitia mfumo rasmi wa kibenki (Mpesa, Tigo, n.k). Unaweka namba yako ya siri kwenye menyu rasmi ya mtandao wako kwenye simu yako, na hakuna mtu yeyote anayeiona hiyo namba.
Ndiyo. Kitabu hiki kimeandaliwa hasa kwa ajili ya waajiri na mazingira ya Afrika Mashariki, hivyo huepusha makosa yanayopatikana kwa kunakili mbinu za kizungu kutoka Google ambazo hazifanyi kazi hapa.
Hii hutokea mara chache sana endapo kuna changamoto ya mtandao. Ukitokea ukakwama, wasiliana na Coach Ben moja kwa moja WhatsApp namba +255 757 853919 na atakutumia kitabu chako papo hapo.
Interview yako inayofuata inaweza kuwa mwanzo wa safari mpya ya maisha yako na uhuru wa kifedha. Usiende vitani bila silaha. Jiandae kikamilifu. Pata kazi unayoistahili.
π₯ Nipe Mwongozo Sasa β TZS 10,000 tuβ Inatumwa moja kwa moja WhatsApp Β· π Malipo ni Salama Β· π Kitabu cha PDF